LRC歌词


[ar:]
[ti:]
[by:]
[00:00.00]Kwa Ngwaru - Harmonize/Diamond Platnumz
[00:03.60]Lyrics by:Rajabu Abdukahal Ibrahim
[00:07.20]Composed by:Rajabu Abdukahal Ibrahim
[00:10.81]Iyoo Lizer
[00:12.17]Hmm
[00:13.09]I wish ningekuwaga na mavumba
[00:16.01]Mkwanja manoti
[00:17.86]Nikuhonge vya thamani
[00:21.49]Ama niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba
[00:25.34]Masanja Joti usiwe mbali nami
[00:30.81]Hmm
[00:31.69]My darling I need you love oh
[00:34.88]Uwe nami haki ya Mungu nakupenda
[00:41.15]Nobody can show you love oh
[00:44.20]Usiwaamini ukishawapa wanakwenda
[00:48.97]Oh basi jilegeze
[00:50.74]Nikubebe mgongoni iyelewi
[00:53.96]Deka nikudekeze nikutunze kama mboni iyelewi
[00:58.48]Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni iyelewi
[01:03.21]Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni iyelewi
[01:07.80]Oh baby
[01:09.43]Asa dansi nikuone kwa ngwaru
[01:12.35]Wa Bami Jo kwa ngwaru
[01:14.38]Ololu Femi kwa ngwaru
[01:17.17]Oh baby
[01:18.82]Asa cheza nikuone kwa ngwaru
[01:21.42]Wa Bami Jo kwa ngwaru
[01:23.78]Basi cheza na mimi kwa ngwaru
[01:26.07]Aaagah
[01:26.73]Moyo wangu wa muarobaini
[01:28.69]Mchungu ukiuziwa
[01:31.17]'Samehe mara sabini
[01:33.09]Huo uzungu sija jaaliwa
[01:35.90]Ungependa juu ama chini
[01:37.70]Kwenye uvungu uparemiwa
[01:40.63]Nikumbatie baridini
[01:42.57]Kwenye tundu kama njiwa
[01:46.06]Moyo wangu ni wa makuti
[01:47.87]Usinijie na kibiriti hasa we'
[01:50.65]Penzi likageuka chuki
[01:52.55]Nyumba ikawa kibiti hasa we'
[01:55.40]Nipatie vya kitandani
[01:57.45]Nipe mpaka kwenye kiti hasa we'
[02:00.08]Ili asiniingie shetani
[02:01.93]Nawe nikaja kukucheati
[02:04.22]Oh basi jilegeze
[02:05.98]Nikubebe mgongoni iyelewi
[02:09.00]Kitandani nikoleze
[02:10.99]Kwa miuno ya kingoni iyelewi
[02:13.64]Kisha nibembeleze
[02:15.35]Nirudishe utotoni iyelewi
[02:18.34]Weka mate niteleze
[02:20.22]Kama nyoka pangoni iyelewi
[02:23.15]Oh baby
[02:24.74]Asa dansi kidogo kwa ngwaru
[02:27.22]Oh wa Bami Jo kwa ngwaru
[02:29.59]Ololu Femi kwa ngwaru
[02:32.47]Oh baby
[02:34.09]Asa cheza nikuone kwa ngwaru
[02:36.69]Wa Bami Jo kwa ngwaru
[02:39.08]Basi cheza na mimi kwa ngwaru
[02:41.20]Aaagah
[02:42.04]'Nataka kucheza chura na ingali umesimama
[02:45.48]Aah inama inama
[02:46.72]Asa waonyeshe
[02:47.97]Aah inama inama
[02:49.01]Unachezaje
[02:50.06]Aah inama inama
[02:51.49]Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama
[02:55.02]Aah inama inama
[02:56.04]Ebu waonyeshe
[02:57.36]Aah inama inama
[02:58.34]Unachotaje
[02:59.51]Aah inama inama
[03:00.77]Unataka kupiga deki wima umesimama
[03:04.39]Aah inama inama
[03:05.37]Ebu tuonyeshe
[03:06.79]Aah inama inama
[03:07.79]Unapigaje
[03:09.05]Aah inama inama
[03:10.19]Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana
[03:13.79]Aah inama inama
[03:14.76]Ebu tuonyeshe
[03:16.09]Aah inama inama
[03:17.09]Unalengaje
[03:18.30]Aah inama inama
[03:21.57]Wasafi record
[03:28.16]Oya wanangu wa kigogo aah inama
[03:30.93]Nipe za Mose Iyobo aah inama
[03:33.14]Vunja vunja kidogo aah inama
[03:35.52]Aah niongeze mikogo aah inama inama

文本歌词


Kwa Ngwaru - Harmonize/Diamond Platnumz
Lyrics by:Rajabu Abdukahal Ibrahim
Composed by:Rajabu Abdukahal Ibrahim
Iyoo Lizer
Hmm
I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba
Masanja Joti usiwe mbali nami
Hmm
My darling I need you love oh
Uwe nami haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show you love oh
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda
Oh basi jilegeze
Nikubebe mgongoni iyelewi
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni iyelewi
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni iyelewi
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni iyelewi
Oh baby
Asa dansi nikuone kwa ngwaru
Wa Bami Jo kwa ngwaru
Ololu Femi kwa ngwaru
Oh baby
Asa cheza nikuone kwa ngwaru
Wa Bami Jo kwa ngwaru
Basi cheza na mimi kwa ngwaru
Aaagah
Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
'Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nikumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu ni wa makuti
Usinijie na kibiriti hasa we'
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti hasa we'
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti hasa we'
Ili asiniingie shetani
Nawe nikaja kukucheati
Oh basi jilegeze
Nikubebe mgongoni iyelewi
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni iyelewi
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni iyelewi
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni iyelewi
Oh baby
Asa dansi kidogo kwa ngwaru
Oh wa Bami Jo kwa ngwaru
Ololu Femi kwa ngwaru
Oh baby
Asa cheza nikuone kwa ngwaru
Wa Bami Jo kwa ngwaru
Basi cheza na mimi kwa ngwaru
Aaagah
'Nataka kucheza chura na ingali umesimama
Aah inama inama
Asa waonyeshe
Aah inama inama
Unachezaje
Aah inama inama
Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama
Aah inama inama
Ebu waonyeshe
Aah inama inama
Unachotaje
Aah inama inama
Unataka kupiga deki wima umesimama
Aah inama inama
Ebu tuonyeshe
Aah inama inama
Unapigaje
Aah inama inama
Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana
Aah inama inama
Ebu tuonyeshe
Aah inama inama
Unalengaje
Aah inama inama
Wasafi record
Oya wanangu wa kigogo aah inama
Nipe za Mose Iyobo aah inama
Vunja vunja kidogo aah inama
Aah niongeze mikogo aah inama inama

声明:本站不存储任何音频数据,站内歌曲来自搜索引擎,如有侵犯版权请及时联系我们,我们将在第一时间处理!