LRC歌词
[ar:Rayvanny/Diamond Platnumz]
[ti:Tetema]
[by:]
[al:Tetema]
[sign:]
[qq:]
[total:0]
[offset:0]
[00:04.59]Aya twende tetema oh mama tetema
[00:06.99]Tipwatipwa tetema oh mama tetema
[00:09.44]Aya twende tetema oh mama tetema
[00:11.93]Shuka chini tetema oh mama tetema
[00:15.81]Tetema yani kama umepigwa shoti
[00:18.29]Tetema nipe migandisho ya roboti
[00:20.72]Tetema ukutani hadi kwenye kochi
[00:23.22]Tetema kwenye giza mama shika tochi
[00:25.72]Katoka kamenoga oh mama
[00:28.09]Nikape ndizi za Bukoba oh mama
[00:30.54]Nikapandisha bodaboda oh mama
[00:32.90]Kakichoka kuchuma mboga oh mama
[00:35.75]Aii mama shigidi
[00:38.30]Nakufa hoi wikidi
[00:40.70]Aii mama shigidi
[00:42.78]Konki fire moto liquid
[00:44.75]Aya twende tetema oh mama tetema
[00:47.05]Tipwatipwa tetema oh mama tetema
[00:49.45]Aya twende tetema oh mama tetema
[00:51.96]Shuka chini tetema oh mama tetema
[00:54.46]Aya twende tetema oh mama tetema
[00:56.95]Tipwatipwa tetema oh mama tetema
[00:59.45]Aya twende tetema oh mama tetema
[01:01.95]Shuka chini tetema oh mama tetema
[01:05.10]Tetema yani kama vile generator
[01:07.76]Tetema kama mwizi kakupiga ngeta
[01:10.22]Tetema mwendo wa kutunga kupepeta
[01:12.61]Tetema chini nikupuliza tarumbeta
[01:15.02]Asa whozi dozi cheza shogoloza
[01:17.60]Kufa chali kama mende
[01:19.70]Maria Roza poza tungi limekoza
[01:22.52]Twende nikupige nyembe
[01:25.22]You make my mind go low go low go low
[01:30.12]Ukinuna tu mie doro doro doro washa
[01:35.88]Sa' nipe za digi digi washa
[01:38.18]Miuno ya Gigi Gigi washa
[01:40.53]Funga kibindo mgwiji gwiji washa
[01:43.06]Nikunyonge ka zigi zigi
[01:44.90]Teeete
[01:45.87]Oh mama tetema
[01:47.09]Tipwatipwa tetema oh mama tetema
[01:49.42]Aya twende tetema oh mama tetema
[01:51.95]Shuka chini tetema oh mama tetema
[01:54.43]Aya twende tetema oh mama tetema
[01:56.94]Tipwatipwa tetema oh mama tetema
[01:59.44]Aya twende tetema oh mama tetema
[02:01.95]Shuka chini tetema oh mama tetema
[02:05.58]Ayo Lizer chiii
[02:07.31]Kichaa kime kime kimempanda
[02:09.79]Amewehuka kime kimempanda
[02:12.08]Kapandisha mizuka kime kimempanda
[02:14.57]Ana ruka ruka kime kimempanda mama
[02:17.19]Kichaa kime kime kimempanda
[02:19.70]Kapanda juu ya meza kime kimempanda
[02:21.96]Eti anavua shati kime kimempanda
[02:24.63]Kalewa anacheza kime kimempanda
[02:27.19]Yani varangati
[02:28.16]Wasafi

文本歌词
Aya twende tetema oh mama tetema
Tipwatipwa tetema oh mama tetema
Aya twende tetema oh mama tetema
Shuka chini tetema oh mama tetema
Tetema yani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika tochi
Katoka kamenoga oh mama
Nikape ndizi za Bukoba oh mama
Nikapandisha bodaboda oh mama
Kakichoka kuchuma mboga oh mama
Aii mama shigidi
Nakufa hoi wikidi
Aii mama shigidi
Konki fire moto liquid
Aya twende tetema oh mama tetema
Tipwatipwa tetema oh mama tetema
Aya twende tetema oh mama tetema
Shuka chini tetema oh mama tetema
Aya twende tetema oh mama tetema
Tipwatipwa tetema oh mama tetema
Aya twende tetema oh mama tetema
Shuka chini tetema oh mama tetema
Tetema yani kama vile generator
Tetema kama mwizi kakupiga ngeta
Tetema mwendo wa kutunga kupepeta
Tetema chini nikupuliza tarumbeta
Asa whozi dozi cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limekoza
Twende nikupige nyembe
You make my mind go low go low go low
Ukinuna tu mie doro doro doro washa
Sa' nipe za digi digi washa
Miuno ya Gigi Gigi washa
Funga kibindo mgwiji gwiji washa
Nikunyonge ka zigi zigi
Teeete
Oh mama tetema
Tipwatipwa tetema oh mama tetema
Aya twende tetema oh mama tetema
Shuka chini tetema oh mama tetema
Aya twende tetema oh mama tetema
Tipwatipwa tetema oh mama tetema
Aya twende tetema oh mama tetema
Shuka chini tetema oh mama tetema
Ayo Lizer chiii
Kichaa kime kime kimempanda
Amewehuka kime kimempanda
Kapandisha mizuka kime kimempanda
Ana ruka ruka kime kimempanda mama
Kichaa kime kime kimempanda
Kapanda juu ya meza kime kimempanda
Eti anavua shati kime kimempanda
Kalewa anacheza kime kimempanda
Yani varangati
Wasafi