当前位置:首页 >> Diamond Platnumz >> Inama 歌词

LRC歌词

[ti:Inama (Explicit)]
[ar:Diamond Platnumz/Fally Ipupa]
[al:Simba]
[by:]
[offset:0]
[00:00.00]Inama (Explicit) - Diamond Platnumz/Fally Ipupa
[00:07.03]Lyrics by:Nasibu Abdul Juma
[00:14.07]Ayolizer
[00:18.61]Kukudekeza kama mtoto
[00:21.15]Furaha unafurahia
[00:23.34]Alafu geuka moto
[00:25.71]Machozi unalia
[00:27.85]Mwembamba mwenene
[00:30.18]Uwe na pesa kama Dangote Dangote
[00:32.96]Penzi halijali umasikini
[00:34.90]Laweza penda mtu yoyote
[00:37.26]Penzi sio somo
[00:39.22]Ukasome kwa kitabu
[00:41.64]Penzi limefanya Harmonize
[00:43.74]Afukuzishe Mwarabu
[00:46.18]Penzi oyoyo
[00:48.10]Limeleta kwa wanangu vita
[00:50.61]Siku hizi siwaoni
[00:52.71]Naishia kuwalike Insta
[00:55.02]Hivo asiyekupenda
[00:56.31]Achana naye
[00:57.64]Anayekupenda
[00:58.46]Pendana naye
[00:59.79]Mambo stress
[01:00.47]Ya nyumba ndani
[01:01.59]Ebu cheza ufurahi
[01:03.38]Kama songi limekolea
[01:05.06]Asa inama
[01:06.74]Ebu pinda mgongoooh ngo ngo ngo
[01:09.63]Oya inamainama beiby
[01:11.34]Basi pinda mgongongo ngo ngo ngo ngo
[01:14.19]Asa inamainama beiby
[01:15.89]Ebu pinda mgongo
[01:17.05]Kama tungi limepoza
[01:18.63]Oya inama basi pinda mgongo
[01:21.42]Toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins
[01:25.60]Ba cadeaux ba je t'aime tout le temps
[01:29.87]Mawé eleka wapi bébé na nga aza présente
[01:34.38]Soucis eleka wapi chérie na ngai azali ehhh
[01:38.45]Tango nionso alobelelaka nga Je t'aime
[01:43.03]Baloba baseka oh
[01:45.41]Baloba baseka oh nga nako lembe teh
[01:48.12]Baloba baseka oh
[01:49.77]Baloba baseka oh nga nako lembe teh
[01:52.78]Chérie na ngai aza kitoko
[01:55.30]Chérie na ngai aza elengi trop
[01:57.64]Chérie na ngai aza kitoko
[01:59.76]Chérie na ngai aza elengi trop
[02:02.27]Parfois l'amour est compliqué mais chérie à moi est toujours romantique
[02:08.45]Asa inama
[02:09.50]Oh oh oh
[02:10.33]Ebu pinda mgongo nakupenda mtoto
[02:13.06]Oya inama
[02:14.28]Bana inama basi pinda mgongo
[02:16.31]Bébé na ngai eh
[02:17.49]Asa inama
[02:18.43]Na lela oh ohohoh
[02:19.41]Ebu pinda mgongoooh mgongo
[02:20.34]Ooohhh
[02:21.98]Oya inama basi pinda mgongo
[02:24.91]Asa nionyeshe unanyonga je
[02:27.19]Nyonga nyonga kibasikeli
[02:29.31]Nyonga kaa kibasikeli
[02:31.45]Nyonga kama kibasikeli
[02:33.75]Ah kiuno kifanye pedeli
[02:36.11]Nyonga nyonga kibasikeli
[02:38.35]Nyonga kaa kibasikeli
[02:40.55]Nyonga kama kibasikeli
[02:43.75]Kupinda mgongo
[02:45.24]Nyonga nyonga kibasikeli
[02:47.37]Nyonga kaa kibasikeli
[02:49.64]Nyonga kama kibasikeli
[02:51.85]Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
[02:54.29]Analishare lishare
[02:56.43]Analishare lishareanalilili
[02:58.94]Analishare lishare
[03:00.46]Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
[03:03.34]Analishare lishareyuko bwi
[03:05.77]Analishare lisharesilali
[03:07.68]Analishare lishareoooh
[03:10.15]Analishare lishare
[03:14.15]Yeah Samuel Eto'o
[03:18.47]Didier Drogba
[03:20.22]Wasafi
[03:22.97]Fally Ipupa Tokooosss
[03:25.33]Toza likolo Bakokoka Té kokate

文本歌词


Inama (Explicit) - Diamond Platnumz/Fally Ipupa
Lyrics by:Nasibu Abdul Juma
Ayolizer
Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Alafu geuka moto
Machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote Dangote
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo
Ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize
Afukuzishe Mwarabu
Penzi oyoyo
Limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni
Naishia kuwalike Insta
Hivo asiyekupenda
Achana naye
Anayekupenda
Pendana naye
Mambo stress
Ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea
Asa inama
Ebu pinda mgongoooh ngo ngo ngo
Oya inamainama beiby
Basi pinda mgongongo ngo ngo ngo ngo
Asa inamainama beiby
Ebu pinda mgongo
Kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo
Toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins
Ba cadeaux ba je t'aime tout le temps
Mawé eleka wapi bébé na nga aza présente
Soucis eleka wapi chérie na ngai azali ehhh
Tango nionso alobelelaka nga Je t'aime
Baloba baseka oh
Baloba baseka oh nga nako lembe teh
Baloba baseka oh
Baloba baseka oh nga nako lembe teh
Chérie na ngai aza kitoko
Chérie na ngai aza elengi trop
Chérie na ngai aza kitoko
Chérie na ngai aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué mais chérie à moi est toujours romantique
Asa inama
Oh oh oh
Ebu pinda mgongo nakupenda mtoto
Oya inama
Bana inama basi pinda mgongo
Bébé na ngai eh
Asa inama
Na lela oh ohohoh
Ebu pinda mgongoooh mgongo
Ooohhh
Oya inama basi pinda mgongo
Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah kiuno kifanye pedeli
Nyonga nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Kupinda mgongo
Nyonga nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishareanalilili
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishareyuko bwi
Analishare lisharesilali
Analishare lishareoooh
Analishare lishare
Yeah Samuel Eto'o
Didier Drogba
Wasafi
Fally Ipupa Tokooosss
Toza likolo Bakokoka Té kokate

声明:本站不存储任何音频数据,站内歌曲来自搜索引擎,如有侵犯版权请及时联系我们,我们将在第一时间处理!